HII NI KAZI YA DIWANI WA KATA YA RAMADHANI GEOGE SANGA ANAELIMISHA WANANCHI KUINGIA KWENYE UJASILIAMALI KWA VITENDO ,AHIMIZA VIJANA KUINGIA KWENYE UJASILIA MALI.
DIWANI WA KATA TA RAMADHANI GEOGE SANGA AKILISHIA MIFUGO YAKE NYUMBANI KWAKE
HAWA WATALAAMU WAKE AMEWAPATIA KUKU MMOJA MMOJA WALIPOTEMBELEA NYUMBANI KWAKE AKIWA MWANDISHI WA HABARI -NJOMBE
No comments:
Post a Comment