Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akiongea na wafanyakazi wa taasisi
zilizo chini ya wizara hiyo wakati akifanya majumuisho ya ziara yake,
mkoani Kigoma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), akiangalia namna
mkonogo wa Taifa ulivyopitishwa katika moja ya madaraja ya Mto
Malagarasi. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Simu
Tanzania (TTCL), Bw. Kamugisha Kazaura akiangalia kwa makini.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Kigoma….. wakati alipomtembelea ofisini kwake.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tano kutoka kulia mstari wa
kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wakala wa
Barabara Tanzania (TANROADS), mkoani Kigoma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa
wa Katavi, Meja Jenerali (Mst) Raphael Muhuga wakati alipomtembelea
ofisini kwake.
Wafanyakazi wa Taasisi zilizo
chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri
wa Wizara Prof. Makame Mbarawa, (hayupo pichani), wakati alipoongea nao
mkoani Katavi.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment