TAASISI
isiyo ya kiserikali T-MARC Tanzania imezindua rasmi jengo lake jipya
pamoja na ghala maalum la kisasa litakalotumika kuhifadhia bidhaa zao
ikiwemo zile za mipira ya kiume na kike kupitia bidhaa zao za DUME.
Tukio hilo limefanyika rasmi mapema jana Aprili 1.2016, ambapo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Andrea Kigwangalla alikuwa mgeni rasmi akiwakilisha Serikali
katika tukio hilo kubwa na la kihistoria.
Akizungumza na wanahabari, Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla
amebainisha kuwa, Serikali inapongeza juhudi za Taasisi za watu binafi
ikiwemo T-MARC Tanzania wanavyofanya juhudi kubwa hapa nchini katika
kuwafikia wananchi kupitia bidhaa zao hizo za kinga.
Dk. Kigwangalla amewapongeza kwa hatua hiyo tokea walipoanza hapa
nchini kuanzia mradi hadi taasisi ambapo kwa hatua yao hiyo pia
imesaidia na mapambano ya virusi vya UKIMWI kwani kupitia bidhaa zao
hizo za kondomu kupitia kondomu za DUME zimekuwa msaada mkubwa sana kazi
hizo wanazofanya wanaisaidia Serikali kwa kiwango kikubwa sana.
Kwa upande wake, Mkurugenzi mtendaji wa T-Marc Tanzania, Bi.Diana
Kisaka alishukuru Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na taassi hiyo
kwani imeweza kutimiza malengo yake hapa nchini na itaendelea
kushirikiana na Serikali bega kwa bega kwa kipindi chote.
Aidha, aliongeza kuwa, wataendelea kutoa huduma bora hiyo ya kinga
kupitia bidhaa zao za mipira ya kinga yaani kondomu za DUME ilikuzuia
mapambano ya virusi vya UKIMWI hapa nchini.
Awali Dk. Kigwangalla alipata wasaha wa kukagua mabanda ya
maonyesho ya miradi mbalimbali ya taasisi hiyo na kupata maelezo ya kwa
kina kisha alipata wasaha wa kufungua rasmi jengo hilo la kisasa ambalo
ni la ofisi za taasisi hiyo pamoja na kuzindua ghala maalum la
kuhifadhia bidhaa hizo za DUME Condom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Mkurugenzi mtendaji wa T-Marc
Tanzania, Bi.Diana Kisaka wakati wa kuwasili katika eneo la tukio hilo
la ufunguzi rasmi wa jengo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania
yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Mjumbe wa bodi ya T-MARC
Tanzania, Bi Joyce Mhavile wakati wa kuwasili katika eneo la tukio hilo
la ufunguzi rasmi wa jengo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania
yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akimsikiliza Meneja Mradi wa T-MARC
Tanzania, Bi. Halima Mwinyi wakati wa kutembelea miradi ya kwenye
mabanda ya maonyesho kwenye tukio hilo la ufunguzi rasmi wa jengo la
kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akimsikiliza afisa wa T-MARC Tanzania,
Bi. Sophia Komba wakati wa kutembelea miradi ya kwenye mabanda ya
maonyesho kwenye tukio hilo la ufunguzi rasmi wa jengo la kisasa la
makao makuu ya T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akimsikiliza afisa wa T-MARC Tanzania,
Bi.Doris Chalambo wakati wa kutembelea miradi ya kwenye mabanda ya
maonyesho kwenye tukio hilo la ufunguzi rasmi wa jengo la kisasa la
makao makuu ya T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Jengo jipya la T-MARC Tanzania kabla ya uzinduzi huo linavyoonekana
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Andrea Kigwangalla akikata utepe kuashiria kulifungua rasmi jengo
hilo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akifungua kitambaa katika jiwe la msingi
kuashiria kulifungua rasmi jengo hilo la kisasa la makao makuu ya
T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Jiwe la msingi la ufunguzi wa jengo hilo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akitia saini wakati wa tukio hilo la
ufunguzi wa jengo hilo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania
yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
Dk. Kigwangalla akitembezwa katika maeneo mbalimbali ya jengo hilo..
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza maneno ya shukrani kutoka
kwa viongozi waandamizi wa taasisi hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa
jengo la kuhifadhia bidhaa ya taasisi hiyo ghala maalum
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akikata utepe kuashiria kulifungua rasmi
ghala hilo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania yaliyopo Jijini
Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akiangalia ghala hilo kwa ndani namna
lilivyojengwa .
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla (Katikati) akiwa pamoja na wajumbe wa
bodi
Dk.Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo ya T-MARC Tanzania.
Dk.Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na wadau na wadhamini wa taasisi hiyo ya T-MARC Tanzania.
Dk.Kigwangalla akiwasili katika eneo maalum la kutolea hotuba ya tukio hilo.
Mkurugenzi mtendaji wa T-Marc Tanzania, Bi.Diana Kisaka akitoa hotuba fupi ya ufunguzi huo
Mwanamuziki Barnaba akitoa burudani katika tukio hilo..
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akitoa hutuba katika tukio hilo
Mwenyekiti wa bodi ya T-MARC Tanzani, Bw. Charles Singili akitoa shukrani zake katika tukio hilo
Mjumbe wa bodi, Bw.Alex Mgongolwa akitoa shukrani zake
Uongozi wa T-MARC Tanzania wakitoa zawadi maalum ya picha ambayo
yenye kuonyesha mwanamke akiwa na mtoto katika malezi bora iliyoelezewa
kwa njia ya sanaa
Wadau wakifuatilia tukio hilo
Dk. Kigwangalla akipata picha ya pamoja na wadau katika tukio hilo
Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya T-MARC Tanzania wakifurahia katika tukio hilo
Bi. Teddy Mapunda akijadiliana jambo na Katibu wa Naibu Waziri wa Afya Bw. Kulwa.Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Andrea Kigwangalla akiagana na Mkurugenzi mtendaji wa T-Marc
Tanzania, Bi.Diana Kisaka wakati akiondoka katika eneo la tukio hilo la
ufunguzi rasmi wa jengo la kisasa la makao makuu ya T-MARC Tanzania
yaliyopo Jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Andrew Chale).
(Picha zote na Andrew Chale).
No comments:
Post a Comment