Waizri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alzeti wanaushishirika wa Chato
akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Machi 17, 2016. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Ushirika huo Elias Kaswahili(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Wasani wa Katoro Geita wakicheza
ngoma ya Kisukuma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia
mkutano wa hadhara kijijini hapo Machi 17, 2016., Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia wakati Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma
katika ziara anayoifanya mkoani Geita wakati alipopita kijijini hapo
Machi 17, 2016., Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara
katika mji wa Katoro , Geita Machi 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment