Katibu mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akiongea na
maafisa Habari na mawasiliano wa Serikali na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa
wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe(wa tatu kutoka kulia) kufunga kikao
cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika Mkoani Morogoro.Wengine pichani
ni Mwenyekiti mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw.Assah
Mwambene(wa kwanza kulia),Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ikulu
Bw.Gerson Msigwa(wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa chama cha maafisa
Habari na mawasiliano wa Serikali(TAGCO) Bw.Innocent Mungi.(wa pili
kulia).
: Maafisa Habari na Mawasiliano
wa Serikali wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe
wakati alipokuwa akifunga kikao cha 11 cha maafisa hao mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe
Steven Kebwe akiongea na maafisa habari na mawasiliano wa Serikali
wakati akifunga kikao kazi cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika mkoani
Morogoro.
Maafisa Habari na Mawasiliano
wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw,Kebwe
Steven Kebwe(wane kutoka kushoto waliokaa) mara baada ya kumaliza kikao
kazi mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe
Steven Kebwe akiongea na maafisa habari na mawasiliano wa Serikali
wakati akifunga kikao kazi cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika mkoani
Morogoro.
No comments:
Post a Comment