Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwasili kwenye uwanja wa ndege Jijini Mwanza kushiriki zoezi la utoaji
wa msaada wa vifaa mbalimbali kwenye kituo cha kulea wazee na watu
wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali, Chama pomaja na Wananchi
walifika kumpokea alipowasili uwanja wa ndege Jijini Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali, Chama pomaja na Wananchi
walifika kumpokea alipowasili uwanja wa ndege Jijini Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiangalia burudani ya ngoma alipowasili uwanja wa ndege Jijini Mwanza.
Baadhi ya misaada iliyotolewa na
wadau mbalimbali kwa ajili ya kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza
cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akipokea shada la maua alipowasili kwenye kituo cha kulea wazee na watu
wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akitoa heshima na kuwasalimia wananchi walifika kwenye kituo cha kulea
wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei.
Baadhi ya sehemu ya wazee
wakiimba kwa furaha wakati hafla ya utoaji wa Msaada kwenye kituo cha
kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi.
Mwajuma Nyiruka akiongea na wananchi waliojitokeza katika hafla ya
utoaji wa Msaada kwenye kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza cha
Bukumbi Mkoani Mwanza na kumshuruku Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa
kushiriki katika hafla hiyo.
Afisa Mfawidhi na Mlezi wa Kituo
kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza kilicho chini
ya Idara ya Ustawi wa Jamii Bw. Michael Bundala akiongea na wananchi na
kushukuru wadau waliotoa msaada katika kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB Dkt. Charles Kimei akiongea na wazee wa kituo kulea wazee na watu
wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza, wananchi waliohudhuria hafla ya
utoaji wa Msaada katika kituo hicho na kumshukuru Mama Janeth Magufuli
kwa kuwakumbusha juu ya utoaji msaada na kuwajali wazee na watu
wasiojiweza na kumahidi kuandaa sera mpya ya kusaidia watu wenye
mahitaji.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akicheza ngoma na wazee wa Kituo kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Magesa
Mulongo akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea na Wazee na pia
kuwahakikishia wazee kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia
katika ahadi zake hasa katika kuhakikisha wazee wanapata huduma bila
usumbufu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiongea na wazee katika Kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza cha
Bukumbi Mkoani Mwanza wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vifaa
mbalimbali na kuyashukuru mashirika, Taasisi za serikali pamoja na sekta
binafsi kwa kutoa misaada hiyo ikiwemo Mchele, Unga, Maharage, Mafuta
ya kupikia, mashine za kufulia pamoja na solar panel pia akatoa rai kwa
wadau wengine kujitolea kusaidia wazee na watu wasiojiweza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei
mara baada ya kumaliza kuongea na wazee
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei
mara baada ya kumaliza kuongea na wazee
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akishiriki katika kukabidhi misaada mbalimbali iliyotolewa na wadau
mbalimbali wakiwamo CRDB, PPF na Makampuni binafsi kwa ajili ya kituo
cha kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akishiriki katika kukabidhi misaada mbalimbali iliyotolewa na wadau
mbalimbali wakiwamo CRDB, PPF na Makampuni binafsi kwa ajili ya kituo
cha kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na wazee katika kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa hafla ya utoaji wa
Misaada kwenye kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza Bukumbi Mkoani
Mwanza
No comments:
Post a Comment