Baadhi ya vifaa mbalimbali vya
Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu
arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat
kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini
Marekani.
Wanafunzi wa skuli ya Sekondari
ya Farouk Aktas Muslim iliopo kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja
wakihudhuria katika Hafla ya Utoaji wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali
vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano
Elfu)kutoka Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na
Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini Marekani.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Halima Salum katikati akipata maelezo kwa Muakilishi wa Taasisi ya
Helping Hand Mohammad Habibu kuhusiana na Vifaa mbalimbali vya Hospitali
vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na
tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa
kushirikiana na Taasisi yake yenye makao Makuu nchini Marekani.hafla
iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya
Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi
katika Hafla ya kutoa Vifaa mbalimbali vya Hospitali iliofanyika Kisauni
Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya
Afya Halima Salum akikabidhiwa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye
thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu Arobaini na Tano Elfu)
na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat Farouk Hamadi.wa kwanza
kushoto ni Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand yenye makao makuu
Nchini Marekani Mohammad Habibu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Afya Halima Salum akitoa hotuba baada ya kupokea Vifaa mbalimbali vya
Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu
Arobaini na Tano Elfu) vilivyotolewa na Taasisi ya Muzdalifat Kisauni
Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment