Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika Mchapalo wa Mwaka Mpya kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi
mbalimbali za Kimtaifa maarufu kama "Sherry Party" Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatatu February 8, 2016
Mabalozi
na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa wakimsikiliza Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika Mchapalo wa Mwaka Mpya maarufu kama "Sherry Party" Ikulu jijini
Dar es salaam leo Jumatatu February 8, 2016
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment