Mjumbe
maalum wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ambaye pia ni Waziri wa
nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Ujasiriamali Mhe.Shri Rajiv Pratap
Rudy akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete barua yenye ujumbe
kutoka kwa kiongozi huyo wa India ikulu jijini Dar es Salaam Septemba 8,
2015 .
Rais
Dkt.Jakaya Mrisjo Kikwete akisoma barua yenye ujumbe kutoka kwa waziri
Mkuu wa India mara baada ya kukabidhiwa ikulu jijini dar es Salaam
Septemba 8, 2015
(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment