Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, August 25, 2015

JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE LIMESEMA LIMEJIPANGA KUKABILIANA NA UKIUKAJI WA SHERIA KIPINDI CHA UCHAGUZI


 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE WILBROAD MUTAFUNGWA AKIZUNGUMZA NA WADAU NA VIONGOZI WA SIASA NA KUKEMEA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI
 
 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE WILBROAD MUTAFUNGWA AKIZUNGUMZA NA WADAU NA VIONGOZI WA SIASA NA KUKEMEA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI
 MRATIBU WA TUME YA UCHAGUZI MKOA WA NJOMBE HILMAR DANDA AKIZUNGUMZA NA WADAU MBALIMBALI

 WAKILI WA SERIKALI MKOA WA NJOMBE YAHAYA MISANGO AKIZUNGUMZIA SHERIA INAVYOSEMA JUU YA KUTRANGAZA MATOKEO




 MICHAEL KILANGO AKISOMA TAARIFA YA MUJATA MBELE YA WADAU NA VIONGOZI WA DINI NA JESHI LA POLISI

 DIWANI  MSTAAFU BWANA MWANI AKICHANGIA  HOJA AMESEMA TUME INATAKIWA KUTENDA HAKI ILI VURUGU ZISITOKEE NA KWAMBA VURUGU NYINGI ZINAZOTOKEA KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI ZIMEKUWA ZIKISABABISHWA NA TUME YA UCHAGUZI KWA KUEGEMEA UPANDE MMOJA WA CHAMA  CHA SIASA NA KUCHELEWSHA KUTANGAZA MATOKEO







WADAU NA VIONGOZI WA DINI NA POLISI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZIKA KWA KIKAO  KILICHOFANYIKIA UKUMBI WA JESHI LA POLISI NJOMBE

Wadau wa Masuala ya Uchaguzi Mjini Njombe Wamevitaka Taasisi Zinazohusika na Zoezi la Uchaguzi Pamoja na Vyombo Vya Ulinzi na Usalama Kutenda Haki Katika Mchakato Mzima wa Uchaguzi Ili Kuepusha Malalamiko Kutoka Vyama Vya Siasa

Wakizungumza Kwenye Mkutano Uliowakutanisha Wadau Hao Wakiwemo Viongozi wa Siasa na Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Wamewataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuwachukulia Hatua za Kisheria Wagombea Wote Watakaokiuka Sheria za Uchaguzi Mkuu.

Akitolea Ufafanuzi Baadhi ya Hoja Zilizoelekezwa Kwa Jeshi la Polisi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC,Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Njombe  Ambaye Pia ni Mwanasheria Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Huo Hilmar Danda, Amesema NEC Imejipanga Vizuri Ili Kutenda Haki Na Kuepuka Kujitokeza Kwa Malalamiko.

Afisa Uchunguzi Wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Njombe Buddy Ebrahim Amewaomba Wananchi  Kushirikiana na Taasisi Hiyo Kuwabaini Watakao jihusisha na Vitendo Vinavyoashiria Rushwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad Mutafungwa Amesema Jeshi Hilo Limejipanga Kukabiliana na Vurugu Zitakazojitokeza Na Kuwataka Wadau Mbalimbali Wakiwemo Viongozi Wa Dini Kutoonesha Viashiria Vya Kushawishi Waumini Kumchagua Mgombea Wa Chama Fulani.

No comments:

Post a Comment