Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, March 21, 2015

BINTI MMOJA ANAYEDAIWA NI MKAZI WA MTAA WA IGELEKE AKUTWA AKIWA UCHI KWENYE NYUMBA ZA WAPANGAJI USIKU WA SAA TISA ALFAJIRI NJOMBE MJINI MTAA WA MATARAWE ADAIWA NI MUWANGA HUYO.


 BINTI HUYU AMEKUTWA KWENYE NYUMBA YA WAPANGAJI AKIWA MDANI  WAKATI WENYE NYUMBA WAKIWA WAMELALA NA MILANGO IMEFUNGWA  ALIKOINGILIA HAIELEWEKI
 BAADA YA KUKAA KWA MUDA MREFU KUANZIA SAA TISA USIKU HADI SAA KUMI NA MBILI NA KUAMUA KUJISAIDIA  HAPO ALIPOSIMAMA AMBAPO NDIPO WANAPOPIKIAGA CHAKULA WANAOKAA KWENYE NYUMBA HIYO AMBAYO WAPO WALIOOKOKA.



 HILI KOVU KILA MMOJA ANASHANGAA NA KITENDO CHA YEYE KUINGIA ILI HALI MILANGO YOTE IMEFUNGWA KIMEWASHANGAZA SANA WATU
 BINTI HUYO ANASADIKIKA KUWA NI MSHIRIKINA NA HAPO KWENYE NYUMBA HIYO AMEINGIA KIMAZINGALA KILA MMOJA AMESHIKWA  NA TAHARUKI  BAADA YA KUMKUTA AKIWA UCHI KAMA ALIVYOZALIWA KWENYE NYUMBA YA WATU AMBAO AWAMFAHAMU HUWA  ANAANGALIA TV  SEBULENI USIKU NA WENZAKE WATATU
 HAPA NI BAADA YA BINTI HUYO ANADAIWA KUWA NI MSHIRIKINA KUPELEKWA AKATIKA OFISI YA MTAA WA MATARAWE KWA SASA MTAA WA BUGURUNI.

 HAPA AMEKALISHWA KAMA ALIVYOKWENDA KWENYE NYUMBA HIYO  YA WAOKOVU

 HAPA NI BAADA YA POLISI KUFIKA SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI NA KUAMURU AVALISHWE NGUO NDIO MAJIRANI WAKAMVISHA NGUO HIZO ALIZO VAA YEYE ALIKWENDA AKIWA HANA NGUO HATA MOJA NA ALIKOINGILIA HAKUFAHAMIKI MILANGO YOTE ILIFUNGWA.



Ni Binti Anaedaiwa Kuwa Mkazi Wa Igereke  Na Hana Akili Timamu Ukimuona WAKATI Wa Mchana  Lakini Husiku Yuko Vizuri Kwaajili Ya Shunghli Ya Kuwanga

HABARI TUNAKULETEA BAADAYE

No comments:

Post a Comment