| Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi |
Baadhi
ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya kupakia kwenye mabox
konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo
cha polisi buguruni kwa uchunguzi zaidi
Baadhi
ya watumiwa wakiwa chini ya ulinzi ambapo jana waliswekwa lumande na
kulala ndani ya kituo cha polisi buguruni baada ya kukamatwa wakipack
konyagi feki maeneo ya vingunguti Dar es salaam jana
MMOJA YA WATUHUMIWA AMBAYE ALIJITAMBULISHA KUWA YEYE NI MMILIKI WA KONYAGI FEKI AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA JANA
Baadhi
ya watumiwa waliokutwa katika godwon lenye konyagi feki wakiendelea na
kazi ya kupakia katika mabox watumiwa hawo walikamatwa na kulala lumande
katika kituo cha polisi buguruni Dar es salaam jana kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa ukipandishwa katika gari kwa ajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni
Baadhi
ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa wa konyagi feki
ukipandishwa katika gari kwa ajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni
Dar es salaam jana
Baadhi
ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo
cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katika marobota ili waweke
katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana
kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha
watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi
No comments:
Post a Comment