BREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo
Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji
Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya
kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha
kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa
madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.
Kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment