MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA UJENZI MHANDIS GERSON HOSEA MALANGALILA LWENGE AKIPOKEA TAARIFA YA KATA YA SAJA ALIPOTEMBELEA.
SHULE YA SEKONDARI WANGING'OMBE MKOANI NJOMBE KUANZISHWA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA CHA SITA MWAKANI
MIUNDOMBINU YA BARABARA KUTENGEWA BAJETI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA WA FEDHA 2014 /2015.
BAADHI YA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI ILEMBURA WAKIULIZA MASWALI KUHUSU UCHAKAVU WA MADARASA NA NYUMBA ZA WALIMU
Na Michael Ngilangwa-Njombe
Serikali Imetenga Shilingi Milion Thelathin Kwaajili Ya Kukarabati Mradi Wa Maji Toka
Mafinga Wilayani Mufindi Mkoani Iringa Hadi Igawa Wilayani Wanging'ombe Mkoani
Njombe unaotoka kwenye chanzo cha mto Mbukwa.
Hayo Yamesemwa Na Mbunge Wa Jimbo La Njombe Magharibi Ambaye Ni Naibu Waziri
Wa Ujenzi Gereson Rwenge Wakati Akizungumza Na Walimu Na Wananchi Wa Vjj Vya
Kata Za Saja,Wanging'ombe Na Ilembula Kutatua Tatizo La Maji Kwa Baadh Ya Vjj Na
Shule.
Akizungumza Akiwa Ktk Shule Ya Sekondari Saja Gereson Rwenge Amesema Wakati Wa
Ziara Rais Aliagiza Kuchimbwa Visima Kwa Taasisi Kama Shule Na Hivyo Wakati Jitihada
Za Kukarabati Mradi Wa Maji Toka Mafinga Kwenda Wanging'ombe Shule Ya Sekondari
Saja Itachimbiwa Kisima Cha Maji Ili Kutatua Tatizo Hilo Kwa Wakati Huu.
Hata Hivyo Mbunge Rwenge Ameagiza Halmashauri Kupitia Wataalam Wa Ardhi Kwenda
Kupima Mipaka Ya Ardhi Ili Kutatua Mgogoro Uliopo Kati Ya Shule Ya Sekondari Saji Na
Kijij.
Afisa Elimu Wanging'ombe Bi. Loyce Mgonja Ametaka Wananchi Kuongeza Jitihada Za
Kujenga Maabara Tatu Na Kushirikiana Na Walimu Kuweka Mikakati Dhidi Ya Wanafunzi
Wanaotoroka Na Kuwachukulia Hatua Za Kisheria Wanaohusika Kutorosha Watoto
Wasisome.
Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Saja Bwana Agen Mdenye Katika Taarifa Yake Kwa Mbunge
Amema Shule Hiyo Inakabiliwa Na Changamoto Mbalimbali Ikiwemo Tatizo La Maji Na
Utoro Wa Wanafunzi Linalojitokeza Kwa Shule Nyingi Wilayan Wanging'ombe.
Ziara Ya Mbunge Wa Jimbo La Njombe Maghalibi Ya Siku 14 Imelenga Kutembelea Shule
Za Sekondari Kuangalia Changamoto Zinazozikabili Shule Hizo Ambapo Katika Kuunga
Mkono Jitihada Za Wananchi Ametoa Msada Wa Vitabu 122 Vya Masomo Mbalimbali
Vikiwemo Vya Sayansi Na Shilingi Milion Sita Kwa Shule Tatu Za Sekondari
Alizotembelea Leo.
No comments:
Post a Comment