Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, April 17, 2014

ZOEZI LA KUONDOA MAWE ENEO LA SOWETO JIJINI MBEYA LA ENDELEA


 Askari wa Jiji wakiwa wanatoa Mawe yote yaliyopo pembezoni mwa barabara eneo la Soweto Jijini Mbeya
 Kazi ikiendelea
 Mmoja wa Askari wa Jiji Mwanamke akiwa amebeba jiwe kubwa kwenda kuweka katika gari
 Gari  la Jiji likiwa limepaki kwa ajili  ya kukusanya mawe hayo
Mmoja wa Askari wa jiji akibonda jiwe kulipunguza ili waweze kubeba na kupakia katika gari.
Picha na Mbeya yetu


No comments:

Post a Comment