KUNDI HILI HAPA LIKIWA NDANI YA OFISI ZA UPLANDS FM RADIO LEO
KULIA NI KIONGOZI WA KUNDI LA SANAA ZA MAONESHO LA RAS ROBERT WA UPANDE WA KULIA NA WA PILI JIMMY MAARUFU PAPUSHKA WAKIWA NA WASANII MBALIMBALI KUTOKA MAENEO YA MIKOA YA TANZANIA.
MPAKA SASA KUNDI HILI LIMEKWISHA KUTOA KAZI YA FILMU TATU AMBAZO BADO HAZIJASAMBAZWA KWA WADAU WAKE NA MPAKA SASA LINAJIPANGA KUTOA FILMU YA NNE.
No comments:
Post a Comment