|
Meneja
wa Bia ya Safari (Brand Manager) kutoka Kampuni ya TBL Ndugu Oscar
Sherukindo akizungumza na waandishi wa Habari juu ya Program ya Safari
Lager Wezeshwa itakayo Fanyika Kesho katika viwanja vya Ruanda Nzovwe
CCM jijini Mbeya kuanzia saa Nne Asubuhi Ambapo wajasiliamali Kumi
Watapewa Vitendea kazi kwa ajili ya kukuza Biashara zao. |
|
Mratibu wa Safari Lager Wezeshwa Peter Zacharia |
|
Meneja Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera |
|
Mratibu
wa Safari Lager Wezeshwa Peter Zacharia(Mwenye Kofia) akifafanua Jambo
kwa waandishi wa Habari ambapo amesema Zaidi ya Milioni Mia Nne
zimetumika kununulia vitendea kazi kwa wajasiliamali Kumi kwa misimu
miwili, msimu huu zawadi kubwa kuliko zote ni Trekta dogo la Kulimia
likiwa na vifaa vyake (Powertiller aina ya Kobota) |
|
Meneja
wa Bia ya Safari (Brand Manager) kutoka Kampuni ya TBL Ndugu Oscar
Sherukindo amesema Mradi huo umeanza mwaka 2011 kwa nia ya kuwawezesha
wajasiliamali wadogo wadogo kwa kuwapatia mafunzo na vitendea kazi |
|
Wanamuziki wa Bendi ya AFrica Minofu inayo tarajia kutumbuiza katika viwanja vya Ruanda Nzovwe |
|
Meneja
Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera (wa kwanza kulia ) akiwasihi
wananchi kufika kwa wingi katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kushuhudia
shughuli mbalimbali zitakazo fanyika |
Afisa Habari wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Machela akifafanua jambo
|
Kiongozi wa Bendi ya AFrica Minofu wa kwanza kutoka kushoto akihimiza juu ya burudani watakayo itoa kesho |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Baadhi ya waandishi wakifuatilia kwa makini kikao kifupi cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
Meneja wa Mikuyu Royal Hotel Juma Mikongo (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TBL
Meneja Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera akiwa na waandishi wa Habari
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment