Kijana
Emanuel Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya sekondari
Ilomba mkazi wa Mama John kata ya Ilomba Jijini Mbeya ambaye alitekwa
akiwa akiwa anapelekwa uwani
Emanuel Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba akiwa ameshikiliwa
Majirani wakiwa wanasubiri kusikia kutoka kwa Emanuel Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba
Mama
mzazi wa Emanuel Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya
sekondari Ilomba Vumilia Komba akiwa anatoka kumtazama mtoto wake
Vumilia Komba mama mzazi wa mtoto akiwa anataka kuulizwa maswali
Mama mzazi wa kijana huyo Vumilia Komba akihojiwa na waandishi wa Habari
Ndugu jamaa na Marafiki pamoja na mzazi wa mtoto wakiwa wanatoa vitu vya mwanafunzi huyo
Shati hili lilikuwa limechanwa ambalo ndilo lilitumika kuchanwa na kumfunga mikono na kumziba mdomo
Nguo pamoja na Viatu alivyokuwa amevivaa muhanga wa tukio
Mjomba wa muhanga Kasian Mwezi Komba
Emanuel
Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba
akifanya mazoezi baada ya kufikishwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya
Emanuel Komba umri wa miaka (15) kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba akiwa amepata fahamu na kuelezea kisa kizima
Wakiondoka katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya baada ya matibabu
chanzo Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment