Baadhi ya watoto wakiokota vitu vilivyotupwa katika moja ya jalala la taka ngumu ililopo katikati ya mji wa Sumbawanga kwenye eneo la Jangwani, uchafu huo unatia doa kampeni ya usafi iitwayo Sumbawanga ng'ara. Picha na Mussa Mwangoka.
Mkuu
wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya akizungumza na vijana ambao ni madereva wa
pikipiki maarufu kwa jina la boda boda juzi kwenye moja kituo cha bodaboda hizo
alipowatembelea ili kujionea kama hali usafiri huo umerejea kama kawaida baada
ya kutokea ukosefu nishati ya mafuta. Picha na Mussa Mwangoka.
No comments:
Post a Comment