Saturday, May 25, 2013
KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE AFUNGUA MASHINDANO YA MICHEZO YA UMISETA LEO KATIKA UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE.
WANAUMISETA WA KUTOKA WILAYA MBALIMBALI MKOA WA NJOMBE WAKIFANYA GWARIDE MBELE YA MGENI RASMI
WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KUTOKA WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE WAKIWA WAMEONGOZANA NA MAAFISA MICHEZO WA WILAYA NA MIJI.
KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE MGEN BARUANI AKITOA HOTUBA KWA WANAUMISETA LEO KATIKA UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE.
WALIMU KUTOKA SHULE MBALIMBALI ZA HALMASHAURI ZA MKOA WA NJOMBE WAKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MGENI RASMI KATIKA HOTUBA YAKE.
AFISA MICHEZO WA MKOA WA NJOMBE STIVIN SANGA AKIENDESHA RATIBA YA MICHEZO YA UMISETA MBELE YA MGENI RASMI WAKATI WA UFUNGUZI HUO.
KATIKATI NI KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE MGENI BARUAN AKIWA NA AFISA ELIMU MKOA WA NJOMBE AMBAE NI MWENYEKITI WA MASHINDANO YA UMISETA MKOA SAID NYASIRO ALIYEVAA KOTI JEUSI PAMOJA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE PAULO MALALA TRACK SUTI YA RANGI YA NJANO.
MGENI RASMI KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE MGEN BARUAN AKIKAGUA TIMU YA MPIRA WA MIGUU KWA WASICHANA AMBAO WAMEANZA BAADA YA UFUNGUZI WA MASHINDANO HAYO.
UWANJANI HUMO NI PAMBANO LA MPIRA WA MIGUU KATI YA TIMU YA WASICHANA WA KUTOKA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO NA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE. HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE..........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment