WAZIRI MKUU AKIWA NJOMBE AMEAGIZA HALMASHAURI KUTATUA KERO ZA WANANCHI NA KUWASIKILIZA KILA MWANANCHI ATAKAYEKWENDA OFISI YA HALMASHAURI NA SERIKALI YOYOTE ILE BILA KUCHAGUA MASIKINI AU TAJIRI ATAKAYEBAINIKA KUWATENGA NA KUSHINDWA KUWAHUDUMIA WANANCHI SHIDA ZAO KWA WAKATI ACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA.
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA AKIPOKEZANA MIC NA MBUNGE WA MAKETE DK NOMAN SIGALA WAKIWA MATAMBA.
PICHA NA Michaelngilangwa blog.
No comments:
Post a Comment