HAPA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIMU MAJALIWA AKIWA KIWANDA CHA CHAI KIBENA NJOMBE MJINI
HAPA WAZIRI AKIWA IGWACHANYA KATIKA OFISI MYA ZILIZOJENGWA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE
BAADA YA WAZIRI KUKAGUA JENGO LA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA NJOMBE
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA PHILIP MANGULA
MBUNGE WA JIMBO LA WANGING'OMBE AMBAYE NI WAZIRI WA MAJI GERSON LWENGE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA IGWACHANYA NA CHALOWE
HILI NI JENGO LA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA WANGING'OMBE
WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA KIWANDA CHA CHAI KIBENA
HUYU MKURUGENZI WA KIWANDA CHA CHAI KIBENA AKIWASILISHA TAARIFA YA KIWANDA KWA WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA ALIPOTEMBELEA KIWANDANI HAPO
CHAI YA KIBENA INAANDALIWA KWAAJILI YA KUPELEKWA KWENYE MITAMBO YA USINDIKAJI CHAI
WAGENI WALIOONGOZANA NA WAZIRI WAKIVAA MAVAZI MAALUMU WAKATI WAKIINGIA KIWANDANI
MITAMBO YA KIWANDA CHA CHAI KIBENA
No comments:
Post a Comment