WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MENEJA WA KIWANDA CHA CHAI LUPEMBE.
KIKUNDI CHA NGOMA YA ASILI KANIKELELE INAYOITWA KING'OMA WAKIFRAHI KUFIKA KWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KIWANDANI HAPO.
CHAI AMBAYO BADO KUSINDIKWA HAPA IPO KUANDALIWA KWAAJILI YA KUINGIZA KWENYE MITAMBO YA KUSINDIKA CHAI HIYO LUPEMBE
WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AMESEMA KIWANDA KIENDELEE KUFANYA KAZI WAKATI MIGOGORO ILIYOPO KATI YA WAMILIKI WA KIWANDA NA WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE MVYULU UKIENDELEA KUTATULIWA.
WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA CHAI LUPEMBE WAKIENDELEA NA KAZI
CHAI YA LUPEMBE YENYE UBORA MKUBWA HAPA BADO IPO KUA
No comments:
Post a Comment