HAWA NI NG'OMBE WA MAZIWA WA KUTOKA SHAMBA LA KITURO NA HAPA WAHUDUMU WAPO KUWAHUDUMIA
MENEJA WA SHAMBA LA MIFUGO LA KITURO BWANA JERAD MASULANO AKIWAAONESHA WAGENI NAMNA WANAVYOFUGA NA KUZARISHA NG'OM,BE HAO.
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIMU MAJALIWA ALIPOTEMBELEA SHAMBA LA KITURO NA HAPA ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WALIOKUWEPO KWENYE SHAMBA HILO
No comments:
Post a Comment