Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi Laptop Mwandishi Chipukizi wa Vitabu vya Taaluma, Ali Salum
Alujai ukiwa ni msaada aliompatia ili aweze kufanya vizuri zaidi
katiaka uandishi wake. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ikulu ndogo
ya Njombe.
picha michaelngilangwa blog
No comments:
Post a Comment