MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MANYUNYU YENYE WANAFUNZI MIA SABA NA MOJA MWALIMU ADVERA BAGOKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE ALIPOTEMBELEWA NA MBUNGE WA JIMBO HILO.
HAPA MBUNGE ALITEMBELEA KITUO CHA AFYA MATEMBWE AMBACHO KINAKABILIWA NA UKOSEFU WA MAJI YA BOMBA
HUYU NI MGANGA MKUU WA KITUO CHA AFYA MATEMBWE DR .SAVIO HAULE AKIZUNGUMZA NA MBUNGE WA LUPEMBE ALIPOTEMBELEWA
VYOO VYA KISASA VYA KITUO CHA AFYA MATEMBWE LICHA YA KUKOSEKANA KWA MAJI YA KUTOSHA
No comments:
Post a Comment