MBUNGE WA LUPEMBE AKISAINI KITABU CHA WAGENI BAADA YA KUFIKA KATIKA OFISI ZA SACCOS YA VIJANA MATEMBWE KABLA YA KWENDA UWANJANI
MWENYEKITI WA SACCOS YA VIJANA WA MATEMBWE AKIZUNGUMZA NA MBUNGE
MBUNGE AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SACCOS WALIOANZISHA LIGI YA KATA
DIWANI WA KATA YA MATEMBWE AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SACCOS NA MBUNGE KWAMBA MWANZILISHI WA SACCOS HIYO NI YEYE
MASHINDANO HAYA YAMEANDALIWA NA CHAMA CHAB USHIRIKA CHA VIJANA WA MATEMBWE KWA LENGO LA KUWAPATA WANACHAMA WENGINE
MBUNGE AKIPEANA MIKONO NA WACHEZAJI KWA UKAGUZI WA TIMU ZA MATEMBWE FC NA IYEMBELA FC
HII NI TIMU YA MATEMBWE FC AMBAYO IMETOKA NA USHINDI WA MAGOLI MATATU KWA BILA DHIDI YA IYEMBELA FC
MIUPIRA YA NJE NAYO WATOTO ANAENDELEZA HAPA
HII NI TIMU YA IYEMBELA KABLA YA MECHI KUANZA
MBUNGE HAPA ANAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI
No comments:
Post a Comment