Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto)
akimpatia kadi ya mawasiliano Mgeni wake Balozi wa Cuba Mhe. Jorge Luis
Lopez alipofika ofisini kwake leo (8/12/2016) kwa ajili ya kumuaga baada
ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
Balozi
wa Cuba Mhe. Jorge Luis Lopez akiandika ujumbe wa kumuaga Waziri wa
Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe kwenye kitabu cha
wageni ofisini kwa Waziri huyo alipofika kwa ajili ya kumuaga.
Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto)
akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Cuba Mhe. Jorge Luis Lopez
alipofika ofisini kwake leo (8/12/2016) kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
No comments:
Post a Comment