Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi waliojitokeza katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride
katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vikosi mbalimbali vya Majeshi
vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na Haraka katika
sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Maadhimisho cha Jeshi
la Wananchi wa Tanzania kikionesha gwaride la kimyakimya mbele ya Amiri
Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika uwanja wa Uhuru.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama
Fatma Karume mara baada ya kumaliza kuhutubia katika uwanja wa Uhuru.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi katika uwanja wa Uhuru mara baada ya kumalizika kwa sherehe
hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea pamoja na Askari Polisi
ambao huongoza misafara ya viongozi VIP riders mara baada ya kuwasili Ikulu wakati wakitokea katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya
Kuwasili katika uwanja wa Uhuru.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment