HAWA NI WANACHAMA WA NYOMBO SACCOS WAKISIKILIZA HOTUBA KWA UMAKINI
WAJUMBE WA BODI YA SACCOS NYOMBO NAO WAKISIKILIZA USHAURI NA MAONI
MENEJA WA NYOMBO SACCOS JOSEPH MKINYE ALIYESIMAMA AKISOMA YATOKANAYO YA MKUTANO MKUU ULIOPITA
MKAGUZI WA USHIRIKA WA IRINGA NA NJOMBE MICHAEL MGOLOZI AKITOA TAARIFA YA UKAGUZI WA SACCOS HIYO
MRAJIS MKOA WA VYAMA VYA USHIRIKA MKOA WA NJOMBE EXAUD SAPALI AKITOA HOTUBA YAKE BAADA YA MIJADALA YA WANACHAMA WA NYOMBO SACCOS
MWENYEKITI WA BODI YA NYOMBO SACCOS FRANCIS FUTE AKITOA NASAHA KWENYE MKUTANO HUO WA WANAHISA
No comments:
Post a Comment