Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, November 19, 2016

MUHASHAMU ASKOFU ALFRED MALUMA AZINDUA JENGO LA CHUO CHA LUHETI LUGALAWA LENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU.


 

 MUHASHAMU ASKOFU WA KANISA KATHOLIKI JIMBO LA NJOMBE ALFRED MALUMA AKIFANYA TENDO LA UZINDUZI WA JENGO LENYE GHOROFA MOJA KWAAJILI YA VYUMBA VYA MADARASA YA WANACHUO.

 HILI NI JENGO LILILOZINDULIWA NA ASKOFU MALUMA


 MWENYE SALE NYEUSI NI PADRE LUGOME WA PAROKIA YA LUGALAWA

 
HAPA ASKOFU WA JIMBO LA NJOMBE ALFRED MALUMA AKITOKA KANISANI NA KUINGIA KWENYE MAANDAMANO KUELEKEA KUFANYA TENDO LA UZINDUZI WA JENGO LA CHUO
NGOMA YA ASILI KUTOKA MKIU WILAYANI LUDEWA IKITUMBUIZA VIKALI

WANACHUO WAKIWA CHANGANYIKENI KATIKA BURUDANI NA HAPA WANACHEZA MUZIKI WA DINI


 MUHASHAMU ASKOFU ALFRED MALUMA AKIWA AMEONGOZANANA KATIBU WA MBUNGE WA LUDEWA PAMOJA NA MAPADRE WA JIMBO NA PAROKIA YA LUGALAWA WAKIELEKEA JUKWAANI.
 PADRE CLEMENCE MGOHELE MKURUGENZI WA CHUO CHA VET IGWACHANYA KATIKA PAROKIA YA IGWACHANYA AKIELEKEA MEZA  MKUU.
VICHEKESHO KUTOKA KWA WANACHUO WA LUHETI LUGALAWA WILAYANI LUDEWA
PADRE LUGOME  WA PAROKIA YA LUGALAWA AKITAMBULISHA WAGENI WALIOFIKA SIKU HIYO.

HILI NDILO JENGO LILILOZINDULIWA NA ASKOFU MALUMA
AKISOMA LISALA KWA NIABA YA PADRE LUGOME MWALI WA CHUO  HERY PETER



WANACHUO CHA UUGUZI NA UKUNGA WA LUHETI -LUGALAWA WAKIONESHA MAIGIZO MBELE YA UGENI


No comments:

Post a Comment