Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Wednesday, November 30, 2016

MKUU WA WILAYA YA NJOMBE AZUNGUMZA NA WANANCHI NJOMBE MJINI LEO





MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI.LUTH MSAFIRI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA NJOMBE MJINI KATIKA KIWANJA CHA NATIONALHOUSING




WANANCHI WAKISIKILIZA KWA UMAKINI HOTUBA YA MKUU WA WILAYA
DC AKISISITIZA JUU YA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUELEKEA MUSIMU WA SIKUKUU YA CHRISTMAS


MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE BI.ILUMINATA MWENDA AKIJIBIA KUHUSIANA NA VIWANJA WALIVYOKUWA WANAWAUZIA WANANCHI KWA BEI KUBWA

DIWANI WA KATA YA NJOMBE MJINI AGREY MTAMBO AWACHOMEKEA WATALAAMU WA ARDHI KWAMBA VIJANA WANASHINDWA KUNUNUA VIWANJA HIVYO KUTOKANA NA GHARAMA KUWA KUBWA KUANZIA MILIONI NNE HADI NANE UWEZO MDOGO KWA VIJANA
MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI NJUWASA DAUD MAJANI AKICHUKUA KIPAZA SAUTI AJIBIA KUKOSEKANA KWA MAJI MJINI NJOMBE.




MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA NATIONALHOUSING MALACK MANDILA AKIAHIRISHA MKUTANO




No comments:

Post a Comment