JESHI LA POLISI BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KUKAMATWA KWA MZEE HUYO LIKAFIKA KUIMARISHA USALAMA NA MZEE YUKO MIKONO SALAAMA HADI SASA
SERIKALI YA MTAA WA KABARAGE YAPIGA MARUFUKU WANANCHI KUAMINI IMANI ZA KISHIRIKINA KWANI ZINAWEZA KUSABABISHA MADHARA KWA BAADHI YA WANANCHI .
AFISA MTENDAJI WA MTAA HUO BWANA CHIRATU AMESEMA BAADA YA KUYONA WANANCHI WALIOKUWA MSIBANI WAMEMZONGA MZEE HUYO AMBAYE ANADAIWA KUINGIA CHUMBA WALIKO LALA AKINA MAMA KILICHOKUWA CHA MAITI PASIPO WAO KUMUONA WAKAAMUA KUMZONGA NA HATIMAYE VIONGOZI WA SERIKALI WAKAENDEA KUMUOKOA MZEED HUYO NA KUMUWEKA OFISINI HATIMAYE KUITA POLISI
ILI KUMUWEKA MIKONONI SALAMA.
No comments:
Post a Comment