Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Padri Jackson Sosthenes (kushoto) na Padri Johnson Lameck wakati
alipowasili katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam kushiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo
Septemba 26, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini
Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa
kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya
Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste
asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
No comments:
Post a Comment