Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi wilayani
humo Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Pwani baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi Septemba 23, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia akiwa
katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia bbada ya kushiriki sala ya Ijumaa
akiwa katika siku ya kwanza na ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia bbada ya kushiriki sala ya Ijumaa
akiwa katika siku ya kwanza na ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment