WAZIRI WA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI CHARLES TIZEBA AKITOA MAELEKEZO JUU YA MIGOGORO ILIYOPO YA WAKULIMA NA KIWANDA CHA CHAI CHA IGOMBOLA KWAMBA WAKUMALIZA MRAJIS ATAKAYEKWENDA KUWASIKILIZA
MBUNGE WA JIMBO LA LUPEMBE AKIWA KWENYE ZIARA YA WAZIRI HUYO
WAZIRI HUYO TIZEBA ALIKAGUA KIWANDA CHA CHAI IKANGA NA KUZUNGUMZA NA WAKURUGENZI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KIWANDA HICHO
MKURUGENZI WA KIWANDA CHA CHAI IGOMBOLA ABDULL MURA AKIZUNGUMZA NA WAZIRI KWAMBA CHAI INAYOCHUMWA KUTOKA MASHAMBA YANAYOZUNGUKA KIWANDA CHAKE HAIUZWI KIWANDANI HAPO BALI INAPELEKWA VIWANDA VINGINE VYA JIRANI.
No comments:
Post a Comment