Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Syria.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Balozi wa Syria hapa nchini
Mhe.Abdulmonem Annan, baada ya Balozi huyo kumtembelea Naibu Waziri kwa
ajili ya kumpongeza na kuzungumzia namna ya kuimarisha mahusiano ya
nchi hizi mbili.
Balozi wa Syria hapa nchini Mhe.Abdulmonem Annan, akizungumza jambo na Mhe. Naibu Waziri wakati wa mazungumzo hayo.
Msaidizi wa Naibu Waziri, Bw. Adam Isara (kulia), akifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
Picha na Reuben Mchome.
No comments:
Post a Comment