HILI NI SHIMO AMBALO MTOTO HUYO ALITUMBUKIA
SEHEMU HIYO ILITITIA BAADA YA MTOTO HUYO KUPITA ENEO HILO AMBALO LILIWEKWA MIFUKO YA SARUFETI KISHA JUU UKAWEKWA MCHANGA
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LIKIFANYA KAZI YAKE KWENYE TUKIO HILO
HAPA TAYARI MWILI WA MTOTO HUYO ASHAOKOLEWA AKIWA AMEFARIKI DUNIA
KAMANDA WA JESHI LA POLISI WILAYA YA NJOMBE ANAYEANGALIA SHIMO HILO AMBALO MTOTO HUYO ALITUMBUKIA
No comments:
Post a Comment