BALOZI MASILINGI AHANI MSIBA WA LETICIA NYERERE LANHAM, MARYLAND
Wapili
toka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson
Masilingi akitoa pole kwa Madaraka Nyerere ( wakwanza kushoto) mume wa
marehemu Leticia Nyerere nyumbani Lanham, Maryland nchini Marekani siku
ya Jumatatu January 11, 2016. Wengine kwenye picha ni Emmanuel Muganda
na Mwenyekiti wa CHADEMA DMV Kalley Pandukizi (kulia). PICHA NA
VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION
Kutoka kushoto ni Zuberi, Afisa
Ubalozi Swele na Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
na Canada Colonel Adolph Mutta.
Wanne toka kushoto ni Mke wa Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Marystella Masilingi akiongea jambo na
Swahiba Mdeme Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani (wapili toka kulia). Kulia ni Mrs Muganda wakijumuika na wafiwa
katika kuwafariji katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa
wao.
Afisa
Ubalozi Suleiman Saleh akiwa na Katibu Muenezi na Itikadi CCM DMV Bi.
Salma Moshi wakihani msiba wa marehemu Leticia Nyerere aliyeaga Dunia
siku ya Jumapili January 10, 2016 katika hospitali ya Jumuiya ya
Madakatari iliyopo Lanham, Maryland nchini Marekani.
NY Ebra (kulia) akitoa pole kwa Madaraka Nyerere mara tu alipofika yeye na Dkt Temba wakitokea New York.
No comments:
Post a Comment