KILIO CHA SIKIKA KWA WAGONJWA JUU YA USAFI
AWALI KABLA HAPAJAREKEBISHWA KATIKA ENEO HILO HALI ILI KUWA HIVI KAMA UNAVYOPAONA APO
SHUHUDIA HALI HII YA HOSPITALI YA KIBENA KABLA HAWAJAREKEBISHA INAVUMILIKA KWELI?
HILI NI ENEO AMBALO UCHAFU WA CHOONI ULIKUWA UKITOKA NA KUTIRIRISHA MAJI YA CHOO HICHO KUELEKEA BARABARANI IENDAYO KWENYE VIBANDA VYA BIASHARA VILIVYOPO JIRANI NA HOSPITALI HIYO
HII NDIYO NJIA YA WAPITA NJIA AMBAYO UCHAFU HUO ULIKUWEPO
No comments:
Post a Comment