Thursday, December 10, 2015
AGIZO LA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LA TEKELEZWA SIKU YA UHURU KUADHIMISHA KWA KUFANYA USAFI NJOMBE
HAWA NI MANESI WA HOSPITALI YA KIBENA WANAIKWEPA KAMERA ILIYOWAMULIKA
HAWA NI WANANCHI NA WATUMISHI WA MKOA NA HALMASHAURI
HILI NI JESHI LA POLISI LIKIWA KWENYE MAADHIMISHO HAYO
ASKLAI MAGEREZA NAO HAWAKUWA MBALI KWENYE USAFI HUO
MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MJINI EDWARD MWALONGO AKIZUNGUMZA
KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE JACKSON SAITHABAHU AKITOA HOTUBA YAKE KWA NIABA YA MKUU WA MKOA.
MAAFISA MAGEREZA WAKIWA NA MAAFISA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE
AKINA MAMA WALIOKWISHA KUJIFUNGUA WAKIWA WODINI KWAO KATIKA HOSPITALI YA KIBENA.
MRATIBU WA MAMA NA MTOTO MKOA WA NJOMBE
FRANCO KIIMBA AFISA HABARI WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ST.AGNESS WAKIENDELEA NA ZOEZI LA USAFI KIBENA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment