Wednesday, November 18, 2015
UPLANDS FM FC WAISHARAZA KURUGENZI WANGING'OMBE FC 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI HAPO JANA
HAWA NI WACHEZAJI WA TIMU YA UPLANDS FC WAKIJIANDAA KUINGIA ULINGONI KATIKA UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI YA IGWACHANYA WILAYA YA WANGING'OMBE
TIMU YA KURUGENZI WANGING'OMBE WAKIFANYA MAZOEZI KABLA YA KABUMBU KUANZA
TIMU CAPTAIN UPLANDS FC FRANK VEGULA AKIRUKA KUUVIZIA MPIRA WA JUU APIGE NA KICHWA AKIWA KARIBU NA MLINDA MLANGO
KURUGENZI YA WANGING'OMBE FC WAKIJIANDAA KUINGIA UWANJANI
WATANGAZAJI WA UPLANDS FM RADIO WAKIRUSHA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA NA HAPA WANAHOJIANA NA BAADHI YA WACHEZAJI WAKE AKIWEMO HAMISS HASSAN KASSAPA
MSEMAJI WA TIMU YA KURUGENZI WANGING'OMBE AKIJIANDAA KUHOJIA NA WATANGAZAJI WA UPLANDS FM KATIKA UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI IGWACHANYA
HAPA MECHI IMEANZA KABA NI KUKABE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment