Meneja
Mauzo na Ufundi wa Lafarge Tanzania, Emil Sindato akitoa mafunzo kwa
wafyatuaji matofali wa mkoa wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya namna
ya kuchanganya saruji ya Supaset ambayo ni mahususi kwa ufyatuaji
matofali na zege ili kupata matokeo mazuri hasa uimara wa majengo na
kuweza kuata faida kibiashara. Mafunzo hayo yalifanyika mwishoni mwa
wiki jijini Mbeya. |
No comments:
Post a Comment