Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania na ujumbe wa Polanda
aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech Walesa (kushoto) katika
hafla ya utiaji saini makubaliaono ya mkopo nafuu ambapo Tanzania
itapokea matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa na SUMA JKT hapa
nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa
jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Rais Mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia) baada ya
kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya mkopo nafuu wa matrekta na
magahala ya nafaka kutoka Poland kwenye mako Makuu ya JKT, Mlalakuwa
jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
Rais mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia kwake) wakiwa katika picha
ya pamoja na ujumbe wa Tanzania na Poland ulioshiriki katika mazungumzo
na utiaji saini makubaliano ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea
matreta na maghala kutoka poland . Utiaji saini huo ulifanyika kwenye
makao makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment