Wakazi
wa Jiji la Mbeya Mjini wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika Vituo
mbalimbali walivyo jiandikishia kuajili ya kupiga Kura kama waonekanavyo
hapo katika Picha ni baadhi ya watu wakiwa katika kituo kilichopo Mtaa
wa Mkombozi Jijini Mbeya wakiwa wamepanga Foleni kuajili ya kupiga Kura.
Baadhi ya Wapiga kura wakiwa katika Foleni..
Hapa
ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke
kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya
leo..
Baadhii ya Maduka ya Vitu vya Jumla na Lejaleja yakiwa yamefungwa Eneo la Kabwa Stendi..
Jeshi
la Polisi linaendelea kuzungukia Mitaa mbalimbali kuhakikisha hali ya
Usalama jijini mbeya Inakuwa shwari katika kipindi hiki cha uchaguzi.
No comments:
Post a Comment