Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo
la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya
kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha
mjini.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya
ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini .Ndugu Hamoud Abuu
Jumaa.
Umati wa wakazi wa jimbo la Kawe wakifuatilia mkutano wa kameni
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa-CCM,Dkt Gharib Bilal akimuombea kura za
ushindi Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika viwanja vya Bunju jioni ya leo jijini Dar.
Sehemu
ya umati wa watu wakiwa wamekusanyika viwanja vya Bunju,kwenye mkutano
wa kampeni jimbo la kawe jioni ya leo ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt
Magufuli alijinadi na kuomba kura za ushindi ifikapo Oktoba 25 kwenye
uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Sehemu ya umati wa wakazi wa jimbo la kawe wakishangilia kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Bunju jioni ya leo jijini Dar
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi,Dkt John
Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kawe,Keppy Warioba
viwanja vya Bunju jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi
wa jimbo la Kawe wakishangilia jambo wakati Mgombea Urais wa CCM Dkt
John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano
wa kampeni uliofanyika uwanja wa Bunju,jijini Dar
Wanachama wa CCM wakishangilia kwa staili ya namna yake,kwenye mkutano wakampeni mjini Kibaha.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Kibaha mjini Ndugu Silvestry Koka akijinadi mbele ya
wakazi wa mji wa kibaha kwenye mkutano wa kampeni,ambapo pia Mgombea
Urais wa CC Dkt Magufuli alijinadi na kuomba kura.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi,Dkt John
Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kawe,akijinadi viwanja vya
Bunju jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA
alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuutiwa na sera za
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao
wananchi
Siasa sio uhasama
Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt John Pombe Magufuli
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akijinadi kwa wakazi wa Tegeta jioni ya leo
alipokuwa akielekea mjini Chalinze kuwahutubia wananchi kwenye mkutano
wa kampeni
Staili
mpya ya Kumpokea Mgeni,Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa
akiwasili viwanja vya Vunju,jimbo la Kawe kuwahutubia katika mkutano wa
kampeni
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akibadilishana jambo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa-CCM,Dkt Gharib Bilal
Mjumbe
wa Halmashauri kuu Taifa-CCM Mama Sophia Simba akimwombea kura Dkt
Magufuli ili apate ridhaa ya wananchi na kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Tanzania,kwa kupata kura nyingi zinazotarajiwa kupigwa oktoba
25
No comments:
Post a Comment