Injinia
Mkuu wa Ujenzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Wilaya ya Musoma Suleiman
Bishanga, akimuonesha Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal
ramani ya ujenzi wa msikiti huo hadi utakapokamilika wakati Makamu wa
Rais alipotembelea kuangalia ujenzi huo leo Sept 24,2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Naibu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Himid Jongo
kwenye Baraza la eid el Hajj iliyofanyika kitaifa leo Sept 24, 1015
katika ukumbi wa MCC Musoma Mkoani Mara.
Waumini
wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akihutubia Taifa
kwenye Baraza la eid el Hajj iliyofanyika leo Sept 24, 1015 katika
ukumbi wa MCC Musoma Mkoani Mara.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia Taifa kwenye Baraza la eid el Hajj iliyofanyika leo
Sept 24, 1015 katika ukumbi wa MCC Musoma Mkoani Mara. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment