Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akitoa hotuba ya ufunguzi hii leo Novemba 28, 2014
Uchaguzi
wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu endapo
utaingizwa ajenda ya UKIMWI na wagombea wenyewe, utasaidia kupunguza
kasi ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi kwa wananchi
Hayo
yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Njombe Mh Dkt Rehema Nchimbi wakati
akifungua kikao cha wadau wanaojadili namna ya kupunguza kasi ya
maambukizi ya virusi vya Ukimwi kilichoandaliwa na tume ya kudhibiti
Ukimwi (TACAIDS) kilichofanyika mkoani Njombe
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Nchini Dokta Fatma Mrisho Akizungumza na Vyombo Vya Habari Mjini Njombe
No comments:
Post a Comment