Kwa taarifa zilizotufikia muda huu zinasema kwamba Shitambala ambaye ni MNEC kupitia Wilaya ya Mbeya mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kisa kuwatetea wananchi kuhusu Mzungu kuvamia eneo kufikishwa mahakamani kesho...habari kamili endelea kututembelea hapa.
No comments:
Post a Comment