Msikiti wa Mtambani ulioko maeneo ya Kinondoni jijini Dar es
salaam unawaka moto hivi sasa kama inavyoonekana katika picha na juhudi
za kuuzima zinaendelea. Chanzo cha moto huo pamoja na madhara yake bado
havijajulikana. Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio na
tutawapasha habari zaidi baadaye.
No comments:
Post a Comment